Key: Eb major
Verse 1
Jumbe Za vitisho
Ila siamini huu Msafara Ni vibaraka Wa mrisho,
Situlianza Sawa vita ya Kuitetea IKULU
F#m
Leo umeisaliti Ukawa Kwenye shere he Za Uhuru,
Uhuru Uko Wapi Mnasherekea Uhuru,
Uhuru Wa kutowafilisi viongozi wakijiuzulu,
Na wanaokufa Maskini Wanangu
Wa Burya Nkuru
D
Bm
Mungu Aliwapa Madini Mnambinafisisha Mkaburu,
D
Bm
F#m
Bungeni Sioni Kinachoendelea Naona Wasomi Wakisutana Umbea,
D
Am
Wengine walishikwa ugoni Picha zilienea
D
E#
Bm
Hamuwaoni Bungeni Afu Bado Mnawalea,
Mambo Ya...
Chama tawala amezalilishwa kada
Am
D
Spika Wa Bunge Ona Analinda Watu
Tume Wakati mwananyamala
Kadi Ya Chama Nachana,
Mlimshindwa Tibaijuka,
Leta Wagambo
F#m
D
Hiki Kichwa Sifii Hapa Nichinjeni Mkanitupe Kwenye Daraja La Mkapa,
Am
E#
Motherfu**** Walafi Wa Madaraka Hata Nyerere, Gadafi Siwalikufa Kwa Mashaka
So Hakuna Kiongozi Msafi Je Nani Mwenye Mamlaka
Anitajie Mtt Wa Rais anayesoma shule Ya kata
Viva Roma
Verse 2
E#
Katiba Ni sauti Ya Umma Na Kuna Uhuru Wa Kuongea
nanyie Ndio mmenituma mpo Tayari kunitetea,
Wilaya Nafanya Mkoa Ili
wapange washikaji,
B5
Bm
Hii Ni miradi Ya upigaji Watasafirisha nyani Sisi tunashangaa twiga
utamfunga nani Ye mwanasheria mkuu Ni maswahiba
D
Bm
D
Bm
D
Bm
E
D
E#
Na Wasanii tuombee Rais ajaye Asipende Tu Vikuu, Watalii Kwa wapemba tutamuona lukuvi Unampigiaje Kura FISI awaongoze mbuzi kwaongo NDOGO Ya kipisi unampa IKULU mlanguzi, Geita Mlinyimwa Dhahabu Watawalaghai Kwa vitenge Napata Kwa gadhabu, Propaganda Za Bunge wasee,
D
F#m
D
Bm
F#m
D
A
F#m
D
Bm
F#m
D
Ngerema ukistaajabu Ya Rema Utayaona Ya Mrema Ona Pepo LA Uslaiti Linaitafuna Chadema Kwetu Rais Ni taasisi inayochaguliwa Na mfumo Sisi wawakilishi Na Kwenye Maamuzi hatumo, Watoto Wao wanauza ngada Baba fisadi mama anafanya ukahaba yupi Mwema kiitikadi Na vita Ya mahakama Ya kazi Ni Uhasama wawazi Yaani unaiska bikra Ndani Ya wodi Ya Wazazi, Nipige Risasi Ya utosi Si ndo nidhamu Ya utawala Maana waliomuua Mwangosi Waliongezewa Mshahara, Dr.
Mvungi Ona Dah!
D
F
Wakamzawadia Jeneza Na Awafungwi Nipe Case Nitaimba Ndani Ya Gereza peperusha bwndera Viva Roma Viva Mbona Mama Yako Anauza
Gongo Na Gongo Ndio Iliokulea Hadi Leo umekuwa Police Na Umpeleki Segerea Life Is Not Fair Police Mna Maisha Gani ...
Tunakufa Maskini Kwa Kuwatetea
Wanyang'anyi
Verse 3
Verse 4
C
Am
C
Am
C
Am
C
Hakuna Mtt Asiye Na Mzazi Yupi Wa Serikali Ya Tatu Mikataba iweke Wazi Demokrasia
Am
Bm
Ni Watu Ona sasa Kila Msomi Anaikimbilia Siasa Nchi Itajengwa Na Nani, Ajira Imekuwa Serious Wanafanya Biashara Haramu,
B5
Bm
F#m
Bado Awalipi Kodi Nani Atahoji Na Hao Ndio Wazamini Wa Bodi Jasho Analila Mzungu Wachimbaji Wadogo Wa migodi Au Mnataka Ivan Aje Awe Mfuasi Wa Panya Road Pesa sherehe Za muungano amzingatii itifaki wanafunzi mnawachoma JUA Na shule Hawana madawati Mnalipa Mishahala Hewa, Na Amlipi Mafao Walimu, Na Mlimpiga Warioba Alivyowaletea Rasmu
A
D
Nchi Inalima Pamba
Nyinyi Mmeua Viwanda
E#
D
Bm
F#m
D
Tunauzia wawekezaji Ona Dora inapanda tunageuka waagizaji Kisha wanatuuzia mitumba uchumi unayumba Leta fujo Upigwe Kama Lipumba,
Bm
Nakutabiri Nani Afate karibu tanga kunani ...
Bm
F#m
D
Kama mawa kama Dawa Kombe Linabaki Ukawa, Mmarekani anataka wese we Hakuna Atakayepona,
F#m
D
Na Mchoma Akifata Gase Mwambie Nangwanda Sijaona
How did you like the song?
TunerE A D G B E
ChordsD F#m Bm Am E#...
More songs by Girls Against Boys
Discover chords for more songs to play
Related songs
Discover chords for more songs to play
Popular chords globally
Most played chords & tabs across all users
