Ushamba chords by Harmonize
Verse 1
F#m
Konde Boy
Weeeeeh
Verse 2
F#m
Huo ni ushamba huo ni, weeh,
huo ni ushamba huo ni, weeh
Huo ni ushamba huo ni, eeeh
huo ni ushamba
New- Play with audio & scroll
Upgrade to play 20,000+ songs ads free, and enjoy playing with music.
Verse 3
F#m
Pesa ya kulipa gesti unayo, eeeh
Nyumbani familia inapiga miyayo, eeeh
Mmh yanafurahisha ufanyayo,
eeeh huo ni ushamba
Inaboa kudadadeki,
dereva wa Uber hataki ku-over take-i
Eti kisa pesa haiongezeki,
eeeh huo ni ushamba
Yupo kitandani kajilegeza, eeh
Mi nimeshapaka vya kuteleza, eeh
Eti bebi leo simba wanacheza,
eeeh huo ni ushamba
Husband material kutwa unalike
picha za makalio
Vya wenzako usijipe matamanio,
eeh huo ni ushamba
Ashura wa mbagala huna
pakula pakulala
Comment-i ndefu picha za kajala huo tunaita,
eeeh huo ni ushamba
Verse 4
F#m
Huo ni ushamba huo ni,
huo ni ushamba huo ni
Huo ni ushamba huo ni,
eeeh huo ni ushamba
Verse 5
F#m
Mmmh malejendi si
wamerudisha vita
Wanahofia eti jeshi anawapita
Bila sababu wananikunjia ndita,
eeeh huo ni ushamba
Limechoka acha nilikalagaze
halina meno ilo simba ze
Likila demu lazima litangaze
Huo tunaita, eeeh huo ni ushamba
Hivi dunia ndo ipo kikomo eeh maana hadi
waganga wanapiga promo
Hadi insta eeh wana page za kujipigia domo,
eeeh huo ni ushamba
Amepanga chumba huko vingunguti yupo
mbezi kwa demu pesa hatafuti
Mmh vipi akikupiga kibuti?
Eeeh huo ni ushamba
Aaah konda wa daladala umenipitisha bahati
mbaya nililala unataka nilipe tena ni busara
Verse 6
Eeeh huo ni ushamba
F#m
Huo ni ushamba huo ni,
huo ni ushamba huo ni
Huo ni ushamba huo ni,
eeeh huo ni ushamba
Verse 7
F#m
Kaja na vumbi uso umefuba
Anadai kapaka powder,
eeh kaniomba nauli ya Uber
Eeeh yule namuona kapanda boda,
eeeh huo ni ushamba
Vitu vingine haviji na ubongo, eeh,
punguzeni sifa wana sio mchongo, eeh
Demu humjui unampakia mkongoo,
eeeh huoni ushamba
Yeye ndo kalewa kuliko wote anaimba
nakucheza ngoma zote
Wakati wakulipa bili sina chochote,
eeh huo ni ushamba
Meno yote nje anachekelea
ahsante baby nimepokea
Hasa mbona haujatuma na yakutoleaa,
eeeh huo ni ushamba
Kumepambazuka alfajiri tupo
club wana anasema subiri
Yani kisa yeye ndo mwenye usafiri aah,
eeeh huoni ushambaa
Tunaishi kwa nyumba ya kupanga
mwenzetu unatuletea mganga
Unataka wote tuonekane wanga huo tunaita,
Verse 8
eeeh huo ni ushamba
F#m
Huo ni ushamba huo ni,
huo ni ushamba huo ni
Huo ni ushamba huo ni,
eeeh huo ni ushamba
Verse 9
F#m
Hehehehee hasa, kama-kama kama-kama
tumekutana mchana unasema haujala
Heheheee asubuhi si ungeniomba mswaki
weeh hehehe hahaha hahahaha
Verse 10
F#m
Huo ni ushamba huo ni,
huo ni ushamba huo ni
Huo ni ushamba huo ni, huo ni ushamba
Verse 11
F#m
They call me Konde Boy number one, jeshi
More songs by Harmonize
Discover chords for more songs to play
