Mpaka Kesho chords by Harmonize
Intro 1
D
G
A
D
Verse 1
D
G
Hello, Hello baby
A
Mmmh mmmh
New- Play with audio & scroll
Upgrade to play 20,000+ songs ads free, and enjoy playing with music.
Verse 2
D
G
Natamani niandike barua na niitume kwako
D
Ila nahisi hutaisomaa,
A
D
utaikataa
Hata simu nitajisumbua,
A
G
kupiga namba yako
A
D
Maana hata ukiiona, utaikata
Verse 3
D
I wish yawe ndoto,
G
haya ninayo yapitia
D
A
D
Ama nirudi utoto imenisonga dunia
Eti kurwa bila ndoto,
G
hivi ni wapi ntaanzia?
D
A
Kulia bila kushoto, sijawai kusikia
Verse 4
D
Eeh, imagine siwezi kukuota
G
(Aaah aah aah)
A
Maana ata usingizi sina (Sinaa)
D
Mwenzako wataniokota
G
(Aaah aah aah)
A
Maji yamenizidi kina
(Mwenzenu mimi)
Verse 5
D
Mpaka kesho (eeh eeh eeh)
Mpaka kesho (umeniganda mawazoni)
G
Em
Mpaka kesho (bado nakuwazaa)
A
Mmh mmh eeh
D
Mpaka kesho (Yaani mawazo
kizunguzungu)
Mpaka kesho (Insta napaona
G
pachungu)
Mpaka kesho (Mateso nihurumie)
A
(bado nakuwaza)
Verse 6
D
Ah! Nishajaribu kudanga
nipoteze mawazo
A
G
Huenda nitaenjoy
A
D
Kumbe najivua utu na heshima
Kwa watabibu waganga
G
Nijue nini chanzo, mwenzako nipo hoi
A
Ama nyota yangu butu, makali sina
Verse 7
D
Eeeh, zile nadhiri
G
Em
Kwamba utaniweka moyoni zinajirudia
A
D
Mie ndio moja we mbili
G
A
Mbona sasa sikuoni, umenikimbia
D
Mie mwenzako ka sabuni kichelema
G
(Siezi ata kupangusa ah ah)
A
Jeraha la penzi nachechema (Sina
D
furaha ata ya kunusa ah ah)
Yaani umeniacha dillema (Siwezi
kupanda kushusha ah ah)
G
Kumbe mapenzi vitaa CCM na Chademaa
A
D
(Firauni na Musa ah ah)
Verse 8
D
Eeh, imagine siwezi kukuota
G
(Aaah aah aah)
A
Maana ata usingizi sina (Sinaa)
D
Mwenzako wataniokota
G
(Aaah aah aah)
A
Maji yamenizidi kina
(Mwenzenu mimi)
Verse 9
D
Mpaka kesho (eeh eeh eeh)
Mpaka kesho (umeniganda mawazoni)
G
Mpaka kesho (bado nakuwazaa)
A
Mmh mmh eeh
D
Mpaka kesho (Yaani mawazo
kizunguzungu)
Mpaka kesho (Insta napaona
G
pachungu)
A
Mpaka kesho (Mateso nihurumie)
(bado nakuwaza)
D
G
Verse 10
A
D
Wa kumove on nitakuwa
mie (Ooh siwezi)
G
Yaani ipite siku nisikufikirie
A
(Ooh siwezi)
D
Kuku unfollow nitaweza mie
(Ooh siwezi)
G
A
Kwenye page yako nisichungulie eeh
D
G
(Ooh siwezi)
A
D
G
A
Eh
Related songs
Discover chords for more songs to play
