Mteule Uwe Macho chords by Rose Muhando
Intro 1
D
G
D
G
D
G
D
G
D
Verse 1
D
Mteule Uwe
G
Macho – Rose Muhando
D
Ooh ye dunia sasa ni mashakani
G
D
Kumbe dhambi imekuwa kitu
A
cha kushangiliwa
D
G
Kwa gharama kubwa imejenge
D
A
wa ngome za kifahari
D
G
D
Ooh ye dunia sasa ni mashakani
A
D
G
Kumbe dhambi imekuwa
D
kitu cha kushangiliwa
A
D
G
Kwa gharama makubwa imejenge
D
wa ngome za kifahari
New- Play with audio & scroll
Upgrade to play 20,000+ songs ads free, and enjoy playing with music.
Verse 2
D
G
Mabomu ya kujitoa muhanga
A
ni jambo la hatari
D
G
Umwagaji damu isiyo hatia
D
A
ni jambo la kutisha
D
G
D
Yaliyonenwa na nabii Danieli sasa yanatimia
Verse 3
D
G
Ni nani atasimama,
D
A
mbele ya hasira ya Bwana
D
G
D
Atulize ghadhabu yake isiipate dunia
G
Ni nani atasimama,
D
mbele ya hasira ya Bwana
A
D
G
D
Atulize ghadhabu yake isiipate dunia
Verse 4
D
G
D
A
Eeeh, lelelelelelele
D
G
Mteule uwe maaaacho
D
A
Ni siku za mwisho nasema
Verse 5
D
G
Mteule uwe macho,
D
hizi ni siku za mwisho
G
Kwani yale yaliyotabiriwa sas
D
A
a yanatimia
D
Tusimame imara tuji
G
D
A
fungeni mikanda
D
G
D
Kwa silaha za haki kifuani, na tusonge mbele
A
D
G
Mpingeni shetani,
D
mnyang'anye mamlaka
A
D
G
D
Tupilia mbali tamaa ya dhambi,
weka pembeni
G
D
Uwe macho, hizi ni siku za mwisho
G
Kwani yale yaliyotabiriwa
D
sasa yanatimia
G
D
Tusimame imara tujifungeni mikanda
A
D
G
Kwa silaha za haki kifuani,
D
na tusonge mbele
G
Mpingeni shetani,
D
A
mnyang'anye mamlaka
D
G
D
Tupilia mbali tamaa ya dhambi,
weka pembeni
G
D
A
D
G
Verse 6
D
Kutangatanga kwako wewe,
G
D
A
mbona kwa kuchelewesha
D
Nachelewa kusema nawe,
G
D
utafuna ulichopanda
A
D
Shika sana ulicho nacho,
G
D
Yesu yu karibu kuja
Mwenye sikio asikie,
G
D
A
roho asema na kanisa
G
D
Eeeh, lelelelelelele
A
Ah yayayayaya
Verse 7
D
G
D
(Eh, mwenye dhambi wewe,
A
D
endelea kutenda dhambi)
A
Muongo endelea kutenda dhambi,
D
dunia ikujuee
G
D
(Eh, mwenye dhambi wewe,
A
G
endelea kutenda dhambi)
D
G
D
Mumbea endelea kusema umbea,
vunja nyumba za watu
G
D
(Eh, mwenye dhambi wewe,
A
D
endelea kutenda dhambi)
G
D
Mchawi endelea kuroga sana,
mchana peupee
G
D
(Eh, mwenye dhambi wewe,
A
D
endelea kutenda dhambi)
Interlude 1
G
D
G
D
A
G
D
G
D
Verse 8
D
Wachungaji tuelezeni,
G
D
A
mwatupeleka wapi jamani
D
Mbona Asikofu mwanamume,
G
A
ameoa mume mwenzie
D
Andiko hili latoka wapi,
G
D
A
tena kwenye Bibilia gani
D
Watoto wetu wa kiume,
G
D
tuwafiche wapi jamani
Wamama nao bila aibu,
G
D
wazini na vijana wadogo
Sasa tutapataje kupona,
G
D
ukimwi utatumaliza
G
D
Eeeh, lelelelelelele
G
Ah yayayayaya
Verse 9
D
(Eh, mwenye dhambi wewe,
A
D
endelea kutenda dhambi)
G
D
Kahaba endelea kufanya ukahaba,
A
G
mpaka kwenye internet
D
G
D
(Eh, mwenye dhambi wewe,
A
D
endelea kutenda dhambi)
G
D
Malaya endelea kufanya umalaya,
utakwenda na ngoma
G
D
(Eh, mwenye dhambi wewe,
A
D
endelea kutenda dhambi)
Washerati endelea kufanya dhambi,
Yesu yuaja
G
D
G
D
(Eh, mwenye dhambi wewe,
A
endelea kutenda dhambi)
D
G
D
Lokole endelea kujitakaza,
Yesu yuaja
G
D
G
D
(Eh, mwenye dhambi wewe,
A
D
endelea kutenda dhambi)
G
D
Shoga endelea kufanya ushoga,
mpaka kwenye mtandao
G
D
(Eh, mwenye dhambi wewe,
A
D
endelea kutenda dhambi)
Interlude 2
G
D
A
Verse 10
D
G
D
Eeeh, lelelelele
Jamani nasema
G
D
A
Mteule uwe macho, hizi ni siku za mwisho
D
G
D
Kwani yale yaliyotabiriwa sasa,
yanatimia
G
D
A
D
Tusimame imara,
G
D
tujifungeni mikanda
G
D
A
D
Kwa silaha za haki kifuani,
G
D
na tusonge mbele
G
D
G
D
Mpingeni shetani,
G
D
G
D
G
D
mnyang'anye mamlaka
G
D
G
Tupilia mbali tamaa ya dhambi,
D
G
D
A
D
weka pembeni
G
Uwe macho
D
Oh, yeyeye, yeyeye
A
D
Oh yeyeyeye
G
D
G
D
Uh yeyeyeyeye
Outro 1
D
D
D
D
A
D
More songs by Rose Muhando
Discover chords for more songs to play
Related songs
Discover chords for more songs to play
