Skip to content

GuitarTuna

Yousician

Free — Get the full experience in app

Open

Nakaza Mwendo chords by Rose Muhando

Intro 1
G
C
G
C
G
C
G
Verse 1
G
Nafurahia
mateso yangu
C
G
Nafurahia mateso yangu
C
G
Ujapo haribika mwili huu
C
G
'Tapata mwingine kwa baba
C
G
Ujapo haribika mwili huu
C
'Tapata mwingine kwa baba
G

New- Play with audio & scroll

Upgrade to play 20,000+ songs ads free, and enjoy playing with music.

Get now
Verse 2
C
Nakaza mwendo (mwendo)
G
nifike mbinguni
Nayakabidhi (haya) maisha
kwa bwana
Nikauone (ule) uzuri wa bwana
C
G
Nakaza mwendo nifike
mbinguni
Nayakabidhi (haya) maisha
C
G
kwa bwana
C
G
Nikauone (ule) uzuri wa bwana
C
Tabu (tabu) na mata
G
tizo hakuna
C
G
Kiu (baba) wala njaa hakuna
C
G
Tabu (tabu) na matatizo hakuna
C
G
Kiu (baba) wala njaa hakuna
Interlude 1
Kabisa aah!
G
C
G
C
G
C
G
Verse 3
G
C
G
Lakini mji ule taa yake
Ni mwana kondoo
Milele mji ule hauhitaji
Jua wala mwezi
Lakini mji ule taa yake
Ni mwana kondoo
Milele mji ule hauhitaji
Jua wala mwezi
Najua kuishi kwangu ni Kristo
Kufa ni faida
Verse 4
G
Nakaza mwendo (mwendo)
nifike mbinguni
C
G
Nayakabidhi maisha kwa bwana
Nikauone (ule) uzuri wa bwana
Nakaza mwendo nifike mbinguni
Nayakabidhi (haya) maisha
kwa bwana
Nikauone (ule) uzuri wa bwana
Tabu na matatizo hakuna
C
G
Kiu (baba) wala njaa hakuna
C
G
Tabu na matatizo hakuna
C
G
Kiu (baba) wala njaa hakuna
Interlude 2
Kabisa aah!
G
C
G
C
G
C
G
Verse 5
G
Lakini waongo na wazinzi
Hawataingia
Wanaowaabudu sanamu
Hawataingia
Lakini waongo na wazinzi
Hawataingia
Wanaowaabudu sanamu
Hawataingia
Najua kuishi kwangu ni Kristo
Kufa ni faida
Verse 6
G
Nakaza mwendo (mwendo)
nifike mbinguni
Nayakabidhi (haya) maisha
kwa bwana
Nikauone (ule) uzuri wa bwana
Nakaza mwendo (mwendo)
nifike mbinguni
Nayakabidhi (haya) maisha
kwa bwana
Nikauone (ule) uzuri wa bwana
(Maana) Tabu na matatizo hakuna
C
G
Kiu (baba) wala njaa hakuna
C
G
Tabu na matatizo hakuna
Kiu (baba) wala njaa hakuna
Kabisa aah!
C
G
Verse 7
G
Hee lalalala lalala aah lalalala
Ooh lalalala lalalala
Aah mbuyo mbuyo mbuyo
Aah mbuyo mbuyo mbuyo
Wee mama mamama
Aah mama mamama (lalala)
Ooh mama mamama
Ooh mama mamama (lalala)
Aah mbuyo mbuyo mbuyo
Ooh mama mamama (lalala)
Aah mbuyo mbuyo mbuyo
Wee mamamama
Lalalaa
Verse 8
G
'Mwendo Nayakabidhi
(haya) maisha
kwa bwana
Nikauone (ule) uzuri wa bwana
Nakaza mwendo nifike (tu)
mbinguni
Nayakabidhi (haya) maisha
kwa bwana
C
G
Nikauone (ule) uzuri wa bwana
Tabu (tabu) na matatizo hakuna
Kiu (baba) wala njaa hakuna
Tabu na matatizo hakuna
C
G
Kiu (baba) wala njaa hakuna
Kabisa aah!
Tabu
Kiu baba na njaa
Taa tabu uuh
G
Kiu baba wala njaa
N/A
Save song
Speed: 1.0x
RestartPlay SpaceEnable loopDisable audio