Skip to content

GuitarTuna

Yousician

Free — Get the full experience in app

Open

Staki Kukuona chords by King Kaka

  • F

  • C

  • Em

  • Am

  • Dm

  • Esus4

Skip chords and lyrics
Verse 1
(F major) (Unajua mi (C major) napenda story sana lakini ka si biz au
(E minor) doh mi (A minor) naona tu utembe (F major) yaani, un (D minor) ajua?)
(Dice (F major) Mzeiya, Kaka Sun (A minor) gura,
Rabbit (ha (E minor) ha)
(Hii ni ingine mzeiya)
(Si unajua? (Si unajua?)
Ka si (F major) pesa (E minor) au biashara, basi tembea Nani,
Verse 2
(E minor)
nani tembea
Ka (F major) si ganji au (E minor) mradi, basi tembea
Nani, nani tembea
(F major) Na na (E minor) staki kukuona, ah-aah
Staki kukuona
(F major) Na na (E minor) staki kukuona, ah-aah
Staki kukuona
Verse 3
Nimesaka winch (E minor) wiki yote
wakaniita paper chaser
Yaani doh, ganji, mkwanja au pesa
(F major) Staki story ndio (E minor) nime-chill mbele
ya keja
Udaku ikaletwa (Dice hajaacha fegi,
(D minor) Oguyo bado ni (E minor) pedi, MP wangu, ni yule hutembea na mavedi)
Oya! Mambo ya Dice (F major) mi huongelea
kwa beat
(E minor) Dome za mtaa pelekea chief
Hata kura ifanywe leo, MP (F major) wako simpi tick
Nani (E minor) tembea na na staki kukuona
Ka si (F major) doh maskio yangu (E minor) haikaribishi udaku
Una biz ingine?
(Ah ah) Tembeza kiatu!
Nataka (F major) future lavish nd'o
(E minor) niweze kujimudu
Kwa sasa nakaribisha buda Uhuru
(F major) Moi ka inaweza,
sana (E minor) sana madolare
Hata P-Unit wanajua Rab (F major) bit ni mkare
Ka si pesa (E minor) au biashara, basi tembea Nani,
Verse 4
(E minor)
nani tembea
Ka (F major) si ganji au (E minor) mradi, basi tembea
Nani, nani tembea
(F major) Na na (E minor) staki kukuona, ah-aah
Staki kukuona
(F major) Na na (E minor) staki kukuona, ah-aah
Staki kukuona
Verse 5
We ni mrembo (E minor) sana
na staki nikuhate
Lakini sina time ya love labda tuplakane
(F major) Ile chapaa ninayo saa (E minor) hii hata
hainitoshi
Nikikuongeza kwa budget
nitapunguza (A minor) noti
Plus nikupeleke (F major) out,
plus (E minor) njumu za ki-source
Plus nikuachie za mfuko,
plus nguo zile (F major) posh
Plus taxi za usiku,
plus ile (E minor) good life of course
Tuseme tu ukweli relationship
(F major) haiwezi
Wewe plus mimi (E minor) equals madeni
So nitakuacha kwa sasa
nikatafute (F major) peni
Uki-insist tu sana, (E minor) mami tembea
Na na staki kukuona
Ni (F major) likuwa na mpango (E minor) usi
ingie box yangu
We uliblanda ati ati ulinipenda tangu
(F major) Hatuwezi kula mapenzi, (E minor) rent kila mwezi
Ati I love you, I love you
Ka si, ka si (F major) pesa au biashara,
Verse 6
(E minor) basi tembea
Nani, nani tembea
Ka (F major) si ganji au mradi, (E minor) basi tembea
Nani, nani tembea
(F major) Na na (E minor) staki kukuona, ah-aah
Staki kukuona
(F major) Na na (E minor) staki kukuona, ah-aah
Staki kukuona (A minor)
(E minor) Na
Verse 7
(D minor)
(A minor)
(E minor) (Esus4) (E minor) (D minor)
(A minor) na staki kukuona,
(E minor) ah-aah
Staki kukuona
(D minor) Na na staki kukuona, (A minor) ah-aah
Staki kukuona
Na na staki kukuona, (E minor) ah-aah
Staki kukuona
Staki (D minor) kukuona
Staki kukuona
(F major) Staki (A minor) kukuona
Staki kukuona
Ka si, ka si (F major) pesa au biashara,
Verse 8
(E minor) basi tembea
Nani, nani tembea
Ka (F major) si ganji au mradi, (E minor) basi tembea
Nani, nani tembea
(F major) Na na (E minor) staki kukuona, ah-aah
Staki kukuona
(F major) Na na (E minor) staki kukuona, ah-aah
Staki kukuona (A minor) (D minor)
(F major) (Si najua?
Verse 9
Na (C major) hope unaelewa yaani,
si kwa ubaya)
(E minor) (Lazima kwanza watu wajenge
doh, unajua?)
(Lazima watu wafanye biz)
(Nikishajenga (D minor) doh, ntakutafuta, (F major) ha (C major) ha)
(Ukweli ntakutafuta) (E minor)
N/A
Save song
Speed: 1.0x
RestartPlay SpaceEnable loopDisable audio