Anza kudance yaani kill them na style
Anza kudance tena sana slow wine
Anza kudance usichoke kuna time
Yaani anza kudance mamii anza kudance
Ey, Beat ikidrop tu, asha anza
Ongeza volume, asha anza kudance
Deejay pull it right back, asha
Beat ikidrop tu, asha anza kudance
Ongeza volume, asha anza kudance
Deejay pull it right back, asha
Asha anza kudance asha anza kudance
Vile unasonga ukiwa tipsy
Na ulizaliwa bila spine kwa mgongo
Nishatii nishakuweka kwa mpango
Mi niko front row na kula kwa macho
Na hapa sitoki bila wewe hapo
Only you ndio utazima hii moto
Zingusha kiuno bila mbio dogo dogo
Anza kudance tena sana slow wine
Anza kudance usichoke kuna time
Yaani anza kudance mamii anza kudance
Beat ikidrop tu, asha anza
Ongeza volume, asha anza kudance
Deejay pull it right back,
Beat ikidrop tu, asha anza
Ongeza volume, asha anza kudance
Deejay pull it right back,
Asha anza kudance asha anza kudance
Ju baby girl we ni kamuivo
Ju baby girl we ni kamuivo
Ju baby girl we ni kamuivo
Amka udance yaani hivo hivo
Ju baby girl we ni kamuivo
Ju baby girl we ni kamuivo
Ju baby girl we ni kamuivo
Amka udance yaani hivo hivo
TK bad man vile mi hu operate
And if you bad then I'm glad nitakutaste
Ikiwa ndani basi baby naza eja****e
Rada safi magizani past 8
Fika haraka utanipata on the wait
Na ka ni mechi mi ndio player mi
Mi ndio manager siezi kosa kuku sex
Body and chest umeni impress
Unaeza flex coz you my next
Nishawatoka wote ni ma ex
And baby girl no lie we ni empress
Anza kudance yaani kill them na style
Anza kudance tena sana slow wine
Anza kudance usichoke kuna time
Yaani anza kudance mamii anza
Ashaanza kudance asha anza kudance
Ongeza volume, asha anza kudance
Deejay pull it right back, asha
Beat ikidrop tu, asha anza kudance
Ongeza volume, asha anza kudance
Deejay pull it right back,
Ju baby girl we ni kamuivo
Ju baby girl we ni kamuivo
Ju baby girl we ni kamuivo
Amka udance yaani hivo hivo
Ju baby girl we ni kamuivo
Ju baby girl we ni kamuivo
Ju baby girl we ni kamuivo
Amka udance yaani hivo hivo
Anza kudance yaani kill them na style
Anza kudance tena sana slow wine
Anza kudance usichoke kuna time